Download Lagu MP3 Gratis & Cepat

Cover Lagu Kosea - Otile Brown

Download Lagu Kosea - Otile Brown MP3

Otile Brown

Sedang memuat audio terbaik untukmu...

Lirik lagu Kosea - Otile Brown

Mmh hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa Ooh beiby, unaninyanyasa sana Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa Ooh beiby, unanitesa sana (Ooh oh oh) Sometimes nafanya zile vitu sipendi Ili nikuridhie Ila ndo bado nanong'ona, yeah yeah Natamani ardhi ipasuke, inimeze Maana mwenzio nimechoka Mwenyezi Mungu niwezeshe Bora iliponifika inisepe Kama umenichoka unieleze beiby Mwenyezi Mungu niwezeshe Bora iliponifika inisepe Kama umenichoka unieleze beiby Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa Ooh beiby, unaninyanyasa sana Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa Ooh beiby, unanitesa sana (Vicky pon dis) Elewa sishindani nawe Sibishani na wewe, mama utakalo na liwe Elewa sishindani nawe Sibishani na wewe, mama utakalo na liwe Beiby niende kushoto uende kulia, kama hatutakani Nimekuvumilia, ila ni kama hatuendani Kila siku vitimbi, utadhani vioja mahakamani Hapa ilipotimia kwa hili penzi nishapoteza imani Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa Ooh beiby, unaninyanyasa sana Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa Ooh beiby, unanitesa sana Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa Ooh beiby, unaninyanyasa sana Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa Ooh beiby, unanitesa sana